Get approvals for construction, renovation, and development projects in our district.

Social services and urban planning
 icon

About this Service

Kufanya ukusanyaji wa mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato;
2. Kutoa taarifa za Mapato yanayokusanywa kutoka vyanzo mbali mbali vya
Mamlaka za Serikali za Mitaa;
3. Kuandaa taarifa ya kila mwezi, robo mwaka, nusu na mwaka ya Mapato
yote ya Mamlaka za Serikali za Mitaa;
12
4. Kufanya ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato katika maeneo ya
makusanyo;
5. Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika vyanzo vyote vya Mapato ya
Mamlaka za Serikali za Mitaa;
6. Kukagua maombi ya leseni za biashara;
7. Kuhifadhi Takwimu sahihi za Mapato ya Mamlaka za Serikali za Mitaa;
8. Kulinda Usalama wa Mapato ya Mamlaka za Serikali za Mitaa;
9. Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria, kanuni na miongozo iliopo;
10. Kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa;
11. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
Service Information
Location:
Mkoani District Council Office
Working Hours:
Monday - Friday: 8:00 AM - 3:30 PM
Related Services

Need more information?

Contact our service desk for any inquiries or assistance regarding this service.